
UMEME WA JOTOARDHI KUUNGANISHWA GRIDI YA TAIFA IFIKAPO 2030 – MRAMBA
-Mikoa 16 kunufaika na Nishati ya Jotoardhi-SEforALL yatakiwa kuwekeza katika utafiti na ubunifu Tanzania imelenga kuunganisha nishati ya jotoardhi kwenye gridi ya taifa ifikapo mwaka 2030 ili kuwa na umeme wa uhakika unaotokana na nishati jadidifu kuelekea Dira ya Tanzania 2025 ambayo inasisitiza maendeleo endelevu ya nishati kama nguzo ya mabadiliko ya kiuchumi. Hayo yamebainishwa…