
Simba V Dodoma Jiji… Ni mechi ya kisasi
UMUHIMU wa pointi tatu za mchezo wa leo baina ya Simba na Dodoma Jiji katika Ligi Kuu Bara, zinatoa majibu ya namna upinzani unaotarajiwa kuwepo muda wote wa dakika 90 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam saa 10:00 jioni. Simba inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 54,…