
Polisi watoa onyo kwa waganga wanaowakata vimeo watoto
Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limetoa onyo kali kwa waganga wanaoshiriki vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, ikiwamo kukata vimeo, kung’oa meno na kukata ngozi ya chini ya ulimi (udata), kwa madai ya vitendo hivyo ni vya kinyume na sheria na vinakiuka haki za watoto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi…