ACT WAZALENDO WAPEWA ONYO NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Baraza la vyama vya siasa nchini limekemea vikali kitendo cha Chama cha ACT WAZALENDO kuchapisha na kusambanza kipeperushi kinachobeza kazi zinazofanywa na baraza hilo huku kikisusia kushiriki kikao kilichoketi machi 12 na 13 mkoani Morogoro. Hayo yameelezwa na wajumbe wa baraza hilo wakati wa kikao cha kawaida cha baraza la vyama vya siasa kilichoketi kwa…

Read More

Kiongozi wa CCM kata auawa na wasiojulikana

Ileje. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Chitete wilayani Ileje Mkoa wa Songwe, Halisoni Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kuuawa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea saa tatu usiku wa jana Jumatano, Machi 12, 2025 katika Kijiji cha Ntembo wakati Mwampashi anatoka kwenye virabu vilivyopo kijijini hapo maarufu…

Read More

Biashara ya mbolea ilivyobadili maisha ya Rhoda

Baada ya kuajiriwa kwa zaidi ya miaka, 20 Rhoda Magoiga sasa anamiliki kampuni iliyoajiri zaidi ya watu 20 na vibarua 60 akionyesha mfano wa ukombozi wa wanawake kiuchumi. “Matokeo niliyopata kwa miaka mitano sijawahi kuyapata kwa miaka Zaidi ya 20 niliyokuwa nimeajiriwa,” amesema Rhoda alipozungumza na Mwananchi hivi karibuni. Rhoda aliyekuwa ameajiriwa na kampuni mojawapo…

Read More

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI YARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA OfISI YA MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe Naghenjwa Kaboyoka (Mb) na wajumbe wa Kamati hiyo wameridhishwa na hatua ya mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi la Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Makao Makuu linalojengwa Jijini Dodoma ambalo hadi sasa limefikia asilimia 85 ambapo Mhe. Kaboyoka ameipongeza…

Read More

Doyo aitaka ACT kuheshimu Baraza la Vyama vya Siasa

Wakati chama cha ACT Wazalendo, kikisusia kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa, baadhi ya vyama vilivyoshiriki mkutano huo vimesema chama hicho, hakipaswi kudharau chombo hicho chenye dhamana ya kuimarisha mazingira ya siasa. Wameeleza hayo Alhamisi Machi 13, 2025 wakati wakizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao cha siku cha…

Read More