
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI KWA MABORESHO MAKUBWA YA MIUNDOMBINU BANDARI YA TANGA
Na Oscar Assenga,TANGA KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeipongeza Serikali kwa maboresho makubwa ya miundombinu katika Bandari ya Tanga ambayo yamekuwa chachu ya kuongeza ufanisi katika utendaji wake. Kauli ya Kamati hiyo ilitolewa leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Seleman Moshi Kakoso baada ya kumaliza ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maboresho…