
Waziri wa kwanza mwanamke Tanzania afariki dunia
Dar es Salaam. Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa uwaziri katika Baraza la mawaziri la Tanzania, Tabitha Siwale (86) amefariki dunia. Dk Maka Siwale, mtoto wa marehemu akizungumza na Mwananchi leo Machi 13, 2025, amesema mama yake amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandal. Amesema mama yake aliyekuwa akisumbuliwa…