
April 2025


Hamsini na kubomoka – maswala ya ulimwengu
Maoni na Zikora Ibeh (Lagos, Nigeria) Jumatano, Aprili 30, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LAGOS, Nigeria, Aprili 30 (IPS) – nusu karne baada ya Ecowas kuahidi amani na ustawi, majimbo matatu ya mapumziko yanajaribu mshikamano wa Afrika Magharibi, na kusababisha vita vya biashara. Isipokuwa juhudi za kidiplomasia za dakika ya mwisho zinaweza kuokoa siku,…

EWURA YATOA LESENI 580 ZA BIASHARA YA MAFUTA NCHINI
:::::::: Hadi Machi 2025, EWURA ilitoa leseni 580 za biashara ya mafuta ambapo kati ya hizo, leseni 204 zilikuwa mpya na 376 zilikuwa zimehuishwa. Aidha, Serikali kupitia EWURA imeendelea kusimamia mkondo wa kati na chini wa Sekta ndogo ya mafuta ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika, usalama na ubora…

Meridianbet Imetoa Msaada Kwa Wanawake Wajawazito Sinza
KATIKA kuendeleza dhamira yake ya kuchangia ustawi wa jamii na kugusa maisha ya Watanzania, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, Meridianbet, imefanya zoezi la kugawa vifaa vya kujifungulia (Maternity Kits) pamoja na diapers kwa watu wazima (Adult Diapers) kwa kina mama waliojifungua katika Hospitali ya Palestina, iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam….

MHANDISI LUHEMEJA AFUNGUA MKUTANO WA KUNDI LA MAJADILIANO LA AFRIKA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja amefunga Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika (AGN) leo tarehe 30 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Hotel Verde Mtoni, Zanzibar. Mkutano huo uliofanyika kwa siku tatu, umewakutanisha washiriki kutoka nchi 54 barani Afrika ambao pamoja na masuala mbalimbali wamejadili ushirikiano katika uhifadhi wa mazingira….

Wafanyakazi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Bidii na Nidhamu
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Shariff Ali Shariff ametoa wito kwa wananchi na wafanyakazi wote kushiriki kikamilifu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yatakayofanyika tarehe 1 Mei 2025 kisiwani Pemba. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho hayo, Waziri Shariff alieleza kuwa siku hiyo ni muhimu…

MAFUNDI UMEME WENYE LESENI ZA EWURA WAONGEZEKA KWA 240%
::::::Katika mwaka 2024/25, mafundi umeme waliosajiliwa na kupatiwa leseni na EWURA wamefikia 6,614 mwaka 2025 kutoka mafundi 2,751 mwaka 2020/21 sawa na ongezeko la asilimia 240. Leseni hizo hutolewa kwa mujibu wa Kifungu cha 5 (a) na 8 (1) cha Sheria ya Umeme, Sura ya 131. Aidha, leseni…

Wadau wataja mbinu kukabili madhara ya mvua Tanzania
Dar es Salaam. Wadau wa mazingira na usimamizi wa majanga wametaja sababu za madhara wakati wa mvua ni ujenzi holela katika maeneo ya mikondo ya maji, udhaifu wa usimamizi wa mipango miji na miundombinu isiyo himilivu. Mbali na hayo, wamependekeza mbinu za kukabiliana na hali hiyo, ikiwamo Serikali kutenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya…

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA TCAA KATIKA MAONESHO YA MEI MOSI KIZIMKAZI, UNGUJA
Katika kuadhimisha Maonesho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Akiwa banda la TCAA , Mheshimiwa Hemed alipata maelezo kuhusu huduma na majukumu ya TCAA pamoja na miradi inayoitekeleza kutoka kwa Meneja wa…

SHINCHEONJI: KANISA PEKEE DUNIANI AMBALO KILA MSHIRIKI HUMILIKI KITABU CHA UFUNUO
“Kuongeza au kupunguza kutoka katika Kitabu cha Ufunuo ina maana huwezi kuingia mbinguni (Ufu 22:18-19)” *Kuna kanisa ambalo hufanya Mtihani wa Biblia kila Wiki na washiriki wote wanajua Kitabu cha Ufunuo. Sasa Hivi Kanisa la Shincheonji la Yesu, Hekalu la Hema la Ushuhuda(Hukumbi wa Makao makuu )Mwenyekiti Man -hee Lee, ambaye baadaye anajulikana kama Kanisa…