
MENEJIMENTI YA SUA YAWAFUTURISHA JUMUIYA YA CHUO HICHO
FARIDA MANGUBE, MOROGORO Menejimenti ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) imeandaa futari maalum kwa Wanajumuiya wa Kiislamu wa Chuo hicho ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mshikamano na mahusiano bora kati ya wafanyakazi na wanafunzi. Hafla hiyo, imefanyika Katika Kampasi Kuu ya Edward Moringe iliyopo Manispaa ya Morogoro ilihudhuriwa na viongozi wa Baraza Kuu…