
Wajibu wa mwanaume kununua zawadi kwa mwenza wake
Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa muda, hivyo kuwa kama mazoea. Mbali ya hilo, baadhi ya wanawake wanasema isiwe mazoea ya kupokea pekee, bali pia nao watoe, huku ikishauriwa zawadi zitolewe kwa nyakati maalumu kama vile katika sherehe za kuzaliwa ili…