Mkutano wa Ulemavu wa Ulimwenguni unasababisha msaada wa elimu kwa watoto walio na shida-maswala ya ulimwengu

Mkurugenzi Mtendaji wa ECW Yasmine Sherif anaingiliana na msichana mdogo wakati anapaka rangi kwa kutumia mdomo wake. Mikopo: ECW/Estefania Jimenez Perez na Joyce Chimbi (Nairobi & Berlin) Alhamisi, Aprili 03, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Nairobi & Berlin, Aprili 03 (IPS) – Kati ya watoto karibu milioni 234 na vijana wa umri wa shule…

Read More

Maono ya Marekebisho ya Asasi za Kiraia hupata uharaka wakati USA inaacha taasisi za UN – maswala ya ulimwengu

Mikopo: Fabrice Coffrini/AFP kupitia Picha za Getty Maoni na Andrew Firmin (London) Jumatano, Aprili 2, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LONDON, Aprili 2 (IPS) – machafuko ya leo na yaliyounganika – pamoja na migogoro, kuvunjika kwa hali ya hewa na hali ya demokrasia – ni kuzidi uwezo wa taasisi za kimataifa iliyoundwa kushughulikia shida…

Read More

Mwenyekiti Soka la Wanawake Mbeya afariki dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mbeya (MWFA), Atupakisye Jabir, amefariki dunia leo Aprili 3, 2025 wakati akipatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Atupakisye ameongoza chama hicho kwa takribani miezi tisa huku akiwa kiongozi wa kwanza wa nafasi hiyo kikatiba na kuacha historia ya kusimamia vyema…

Read More

BALOZI DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NAMTUMBO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na umati mkubwa wa wananchi Namtumbo, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Namtumbo, leo Alhamis tarehe 3 Aprili 2025. Katika mkutano huo, viongozi wa vyama vya ACT Wazalendo na Chadema, wakiwaongoza wanachama wao, waliamua kurejesha kadi na…

Read More

Chadema kinawaka, watia nia njia panda

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaweka njiapanda watia nia katika uchaguzi mkuu ujao baada ya kusisitiza msimamo wake wa hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi kushinikiza mifumo ya uchaguzi kurekebishwa. Watia nia wa ubunge na udiwani wametakiwa kuchagua ama kukihama chama hicho kwenda kugombea kupitia vyama vingine au kuungana na viongozi kupigania mabadiliko…

Read More

Serikali kuanza ujenzi SGR ya Jiji la Dar, Dodoma

Morogoro. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa reli ya Jiji la Dar es Salaam (Commuter Rail Network – CRN) ili kuboresha mfumo wa usafiri wa umma katika jiji hilo. Akizungumza leo Aprili 3, 2025, wakati wa semina ya menejimenti ya TRC na waandishi wa…

Read More

Wafanyabiashara wa samaki sasa kuuza kidijitali

Dar es Salaam. Teknolojia inaendelea kukua katika sekta ya uvuvi, na sasa biashara ya samaki na mazao yake inaweza kufanywa kidijitali kupitia mfumo wa Vua Uza na Nunua Samaki Kidijitali wa PFZ. Mfumo huu wa programu tumizi unawawezesha wavuvi kupata taarifa muhimu kama vile hali ya hewa, maeneo yenye wingi wa samaki wa aina fulani,…

Read More

Udom yabuni mfumo wa kujipima changamoto afya akili

Dodoma. Mfumo unaotumia Akili Unde (AI), utakaomwezesha mtu kujipima na kubaini changamoto za afya akili kwa kutumia simu au kompyuta na kisha kupata ushauri wa kitaalamu, utazinduliwa Juni mwaka huu. Katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2022/23,  alisema utambuzi  wa wagonjwa unaofanywa unalenga zaidi watumiaji wa dawa za…

Read More