
LEMA ATANGAZA UAMUZI MCHUNGU UBUNGE ARUSHA,AJIWEKA MGUU SAWA!
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema. By ngilishonews.com MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema. MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema hatogombania Ubunge katika Jimbo la Arusha kama hakutafanyika mabadiliko ya sheria za mfumo…