UONGOZI MPYA TEF 2025 – 2029

 ****** Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),limekamilisha safu ya uongozi wa Kamati ya Utendaji (KUT),baada ya wagombea 12 kuchaguliwa na kubakia saba. Mapema mchana wajumbe wa mkutano huo 153 walitangaziwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi,Frank Sanga ambaye aliwatangaza Mwenyekiti Deodatus Balile na Makamu wake,Bakari Machumu baada ya kuwa wagombea pekee wa nafasi hizo. Hatua hiyo…

Read More

Ofisi ya Haki za UN inataka kukomeshwa kwa 'uwepo haramu wa Israeli katika eneo lililochukuliwa la Palestina – maswala ya ulimwengu

Mkurugenzi mwenza wa Palestina wa maandishi, Basel Adra, aliwasilisha matamshi kwa Kamati ya UN juu ya utumiaji wa haki zisizoweza kutengwa za watu wa Palestina. Balozi Riyad Mansour wa Jimbo la Observer la Palestina na Wakili wa Haki za Binadamu wa Israeli Netta Amar Schiff – ambaye alijiunga kupitia Videolink – pia alishiriki. Hakuna ardhi…

Read More

Rais Samia afanya uteuzi, yumo Balozi Sirro

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akimteua IGP mstaafu Balozi Simon Sirro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Balozi Sirro anachukua nafasi ya Meja Jenerali mstaafu, Michael Isamuhyo ambaye amemaliza muda wake. Taarifa iliyotolewa leo Aprili 5, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi Dk Moses…

Read More

Askofu Mbilu: Tusiwachague wanaotoa rushwa kupata uongozi

Lushoto. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Msafiri Joseph Mbilu, amewataka waumini na Watanzania kwa ujumla kujiepusha na vitendo vya rushwa kutoka kwa wanasiasa wanaotarajia kuwania uongozi katika uchaguzi ujao. Akizungumza katika mkutano mkuu wa tano baada ya Jubilee ya Miaka 125 ya Injili, uliofanyika Magamba, wilayani…

Read More

Safari ya maridhiano Lissu, Mbowe yaanza

Dar es Salaam. Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha) kupitia chombo maalumu (caucus) kilichoundwa kutatua migogoro limeanza mchakato wa maridhiano kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi ndani ya chama hicho. Kwa mujibu wa taarifa ambazo Mwananchi inazo, chombo hicho Aprili 4, 2025 kilikutana na Mwenyekiti mstaafu, Freeman Mbowe, nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam. Haja…

Read More

Dk Nchimbi ajiapiza kwa Rais Samia, Wanaruvuma

Nyasa. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekula ‘kiapo’ mbele ya wananchi wa Ruvuma kwamba atakuwa mwaminifu na mweledi kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan na kamwe:”Sitawaangusha, sitamuangusha.” Dk Nchimbi amesema Rais Samia amempa heshima kubwa yeye binafsi na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kumpendekeza kisha mkutano mkuu wa CCM ukampitisha kuwa…

Read More

Samia atua zigo nafasi ya Jaji Mkuu

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hana dhamira ya kugombana na majaji, hivyo amedhamiria kumuacha Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma aliyebakiza miezi michache, aende kupumzika. Amesema hayo leo Jumamosi Aprili 5, 2025 alipozindua majengo matatu ya makao makuu ya Mahakama Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama na nyumba za majaji zilizojengwa katika eneo la Iyumbu,…

Read More

Samia atua zigo la majaji

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hana dhamira ya kugombana na majaji, hivyo amedhamiria kumuacha Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma aliyebakiza miezi michache, aende kupumzika. Amesema hayo leo Jumamosi Aprili 5, 2025 alipozindua majengo matatu ya makao makuu ya Mahakama Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama na nyumba za majaji zilizojengwa katika eneo la Iyumbu,…

Read More