WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUISHI FALSAFA ZA RAIS DKT. SAMIA

******   WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuza diplomasia ya kiuchumi kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali duniani. Mheshimiwa Majaliwa amesema kufanya hivyo kutaiwezesha Tanzania kuvutia wawekezaji katika sekta mbalimbali zikiwemo za viwanda, kilimo, biashara pamoja na kupata masoko ya bidhaa…

Read More

Kaya milioni 1.3 zanuafika na Tasaf nchini

Shinyanga. Mpango wa kunusuru kaya maskini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) umeendelea kuleta matumaini kwa maelfu ya Watanzania, huku zaidi ya kaya milioni 1.3 zikinufaika na mpango huo. Hayo yamesemwa jana Aprili 5, 2025 kwenye taarifa iliyotolewa na ofisa habari na mawasiliano wa Tasaf, Christopher Kidanga katika mkutano mkuu wa waandishi wa…

Read More

Watoweka kwa siku 70, familia zinaendelea kuwatafuta

Dar es Salaam. Kijana Gwakisa (27) Hobokela mkazi wa Tabata Kisiwani na Kelvin Montana Mushi (19) wa Mbezi Luis jijini Dar es Salaam wametoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa zaidi ya siku 70, familia zikihaha kuwatafuta. Kelvin na Gwakisa wametoweka tangu Januari 24 na 26 mwaka huu katika matukio mawili tofauti. Familia ya Kelvin inadai…

Read More

Dk Nchimbi alivyohitimisha ziara nyumbani kwao

Ruvuma. Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi mkoani Ruvuma imetamatika, huku akisisitiza wananchi kujiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 pamoja na kuilinda amani ya nchi. Mbali na hilo, amesema chama hicho kitaendelea kupambana usiku na mchana kuhakikisha inatatua changamoto za wananchi na kuwapelekea maendeleo ili kuchagiza ustawi wa…

Read More

Rais Samia kuhutubia Bunge Angola

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kulihutubia Bunge la Angola ikiwamo kufanya mazungumzo na Rais  João Lourenço wa nchi hiyo. Rais Samia ambaye anaanza ziara ya siku tatu nchini humo kuanzia Aprili 7 hadi Aprili 9, 2025, mbali na kulihutubia Bunge pia ataweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa muasisi wa…

Read More