Taliban View hata Vipodozi vya Wanawake kama tishio kwa utawala wao – maswala ya ulimwengu

Parlors za urembo zimepotea kutoka mitaa ya miji ya Afghanistan, iliyofutwa chini ya utawala wa Taliban. Mikopo: Kujifunza pamoja. Kabul Jumatatu, Aprili 07, 2025 Huduma ya waandishi wa habari KABUL, Aprili 07 (IPS)-Mwandishi ni mwandishi wa kike wa msingi wa Afghanistan, aliyefundishwa kwa msaada wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua. Utambulisho wake umezuiliwa kwa sababu…

Read More

RAIS MSTAAFU KIKWETE :JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA NI MUHIMU KATIKA KUKUZA MAZUNGUMZO YA UWAZI, KUJENGA FURSA

Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV RAIS Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema tangu kuanzishwa kwa Jukwaa la Uongozi la Afrika limekuwa na jukumu muhimu katika kukuza mazungumzo ya wazi na yenye kujenga kuhusu fursa, changamoto na mienendo inayoibuka ya kimataifa inayoathiri maendeleo ya Afrika. Kikwete ambaye ni Mlezi wa jukwaa…

Read More

Mrema, wenzake wa G55 kulimwa barua katika matawi yao

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa kichama Ilala, kimewaagiza viongozi wake wa matawi kuwaandikia barua makada wake saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano ya Mambo ya Nje, John Mrema wajieleza kwa nini wasichukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kujitokeza hadharani kupinga msimamo wa chama hicho. Mbali na Mrema…

Read More

MZUMBE SEKONDARI ALUMNI WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KUBORESHA, TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE

Na Mwandishi wetu Mzumbe Sekondari Alumni wametoa msaada wa komputa shule ya Mzumbe sekondari ikiwa ni jitahada za kuboresha teknolojia ya mawasiliano na kuboresha mbinu za kujifunza na kuendelea kusaidia ufundishaji kuwa bora zaidi. Mwenyekiti wa Umoja wa wanafunzi waliosoma Mzumbe Sekondari (Mzumbe alumni) Edward Talawa amesema hayo wakati wa kukabidhi kompyuta hizo kwa Mkuu…

Read More

IMANI POTOFU ZINAVYO KWAMISHA KUFIKIWA USAWA WA KIJINSIA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima. Kulia ni mwandishi wa Makala hii akifanya mahojiano kuhusu usawa wa kijinsia. Kushoto ni mwandishi wa Makala hii akizungumza na Jeneroza Tunati. ………………… Na Daniel Limbe,Chato  “MAENDELEO hayawezekani bila mabadiliko ya kifikra, na wale ambao hawawezi kubadilika namna wanayofikiri hawawezi kubadili kitu…

Read More