WADAU WA USAFIRI KUKUTANA KUJADILI UFUMBUZI WA CHANGAMOTO ZA MADEREVA
***** Taasisi ya Huduma yangu Faoundation imeaanda Bodoboda Bajaj Summit kongamano lengo la kukutanisha wadau wa usafiri kutoa serikali na sekta ya binafsi kujadili kwa pamoja namna ya kutatua changamoto zinazo wakabili madereva waenda bodaboda na bajaji nchini. Akizungumza na waandishi habari ,Mkurugenzi Taasisi ya Huruma Yangu Foundation, Esta Richard amesema kongamano hilo litafanyika Aprili…