SERIKALI IJIAANDAE KUJENGA MIRADI YA UMEME KUFIKIA 2030

**** Naibu waziri wa Nishati Dotto mashaka Biteko amesema serikali inatakiwa kujipanga katika kujenga miradi ya umeme kuanzia sasa ilikuepuka madhara ya kukosa umeme kwa miaka ijayo. Dkt Biteko ameyazungumza haya leo 9 Aprili 2025 jijini Dodoma ,wakati wa uzindunzi wa Taarifa za maendeleo ya sekta ya Nishati kwa mwaka 2023_2024 . Aidha megawait 8059…

Read More

DKT BITEKO ABAINISHA CHANGAMOTO UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko amesema kuwa pamoja na jitihada za Serikali kuhakikisha uwepo wa upatikanaji wa uhakika wa Nishati ya Umeme,Mafuta na Gesi asilia lakini bado sekta hiyo inakabiliwa na changamoto ikiwemo Mabadiliko ya Tabianchi na uharibifu wa Mazingira ambacho ndio kimekuwa kilio kikubwa…

Read More

Mitazamo tofauti yanayoendelea Chadema | Mwananchi

Dar es Salaam. Wadau wa siasa nchini Tanzania wamekuwa na maoni tofauti juu ya kile kinachoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kwa sasa Chadema kuna mvutano baada ya kuibuka kwa kundi la G55 la watia nia ubunge wa mwaka 2020 na 2025 likijumuisha baadhi ya vigogo wanaokubaliana kwamba No Reforms, lakini si…

Read More

Sh1.1 bilioni kutatua kero ya maji Maswa

Simiyu. Zaidi ya Sh1.1 bilioni zinatarajiwa kutatua changamoto ya maji kwa wananchi wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, iliyokuwa ikiwakabili kwa muda mrefu. Fedha hizo zinazotumika kugharimia ujenzi wa mradi wa tanki la maji litakalokuwa na ujazo wa lita milioni mbili na kuwanufaisha jumla ya wananchi 102,682. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Maji na Usafi…

Read More

PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA AWAMU YA PILI KAMPENI YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI

***** Puma Energy Tanzania kwa Kushirikiana na shirika la Amend Tanzania imezindua awamu ya pili ya kampeni yake ya Usalama Barabarani inayojulikana kama ‘Be Road Safe Africa’.  Mpango huo wenye kuleta mageuzi kwa usalama barabarani unalenga kuwawezesha watoto na kuboresha uelewa wa usalama barabarani katika jamii zao. Awamu ya pili itaendeleza jitihada zake katika shule za…

Read More

Wakulima wanahitaji suluhisho za sayansi mikononi mwao mapema kuliko baadaye – maswala ya ulimwengu

Mfalme wa mazao, Simeon Ehui, Mkurugenzi Mkuu wa IITA, ameshikilia Cassava Tuber, mazao muhimu yaliyotengenezwa na IITA. Mikopo: Busani Bafana/IPS na Busani Bafana (Nairobi) Jumatano, Aprili 9, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NAIROBI, Aprili 09 (IPS) – Mabadiliko ya hali ya hewa yanapatikana sayansi na wakulima wanalipa bei. Ubunifu wa utafiti wa kilimo unahitaji…

Read More