MichezoKakolanya asimamishwa Namungo FC Admin5 months ago01 mins 25 UONGOZI wa Namungo umethibitisha kumsimamisha kipa wao, Beno Kakolanya kwa kile kinachodaiwa ni utovu wa nidhamu huku mchezaji huyo akisubiri hatma yake baada ya suala lake kupelekwa kamati ya maadili. Post navigation Previous: Dar kinara watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaaniNext: JUKWAA LA UTALII WA CHAKULA DUNIANI KUFANYIKA TANZANIA-MHE. MAJALIWA