MichezoSimba yaing'oa Al Masry, yatinga nusu fainali CAFCC Admin5 months ago01 mins 35 HISTORIA imeandikwa! Mnyama ameenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry ya Misri kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Post navigation Previous: BoT yataja maeneo ya kumwezesha mwanamke kiuchumiNext: Lissu adaiwa kushikiliwa na Polisi Ruvuma