Mkuu wa Biashara ya UN – Maswala ya Ulimwenguni

Bi Grynspan alikuwa akiongea baada ya kuongezeka kwa wasiwasi wa UN kwa athari inayoendelea kuwa na uhakika wa uchumi unaoweza kuwa hatari zaidi. Siku ya Jumanne, Katibu Mkuu wa UN, António Guterres, alisema kwamba “vita vya biashara ni mbaya sana,” na alionya kwamba athari za ushuru zinaweza kuwa “mbaya.” Ushuru ni ushuru kwa uagizaji unaokuja…

Read More

Vifo vinavyoweza kuzuia vifo vya 'meningitis' vinalenga mpango wa hatua ya wakala wa afya – maswala ya ulimwengu

Watu mahali popote, katika umri wowote wanaweza kuambukizwa na ugonjwa wa meningitis, ambayo hupitishwa kwa njia ya kupumua au matone katika mawasiliano ya karibu ya kibinadamu. Mataifa ya kipato cha chini na cha kati ni zaidi ya kuathiriwa. Kile kinachojulikana kama “ukanda wa meningitis” katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara huona kesi nyingi na…

Read More

UMASKINI UNAVYOATHIRI USAWA WA KIJINSIA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima.  ……………. Na Daniel Limbe,Chato “Kuna watu aina mbili ambao watakwambia huwezi kuleta mabadiliko ulimwenguni, ambaye anaogopa kujaribu kufanya jambo na yule anaehofia utampiku kwenye jambo hilo,” Ni kauli ya Mwanafalsafa wa Marekani Ray Goforce ambaye alikuwa akisisitiza jamii kufanya tafakuri njema katika harakati…

Read More

JOWUTA,IFJ na THRDC kutoa mafunzo ya kuripoti uchaguzi mkuu.

……………….. Mwandishi wetu,Dar es Salaam. Chama cha wafanyakazi katika vyombo vya habari nchini(JOWUTA) kwa kushirikiana na shirikisho la kimataifa la waandishi duniani(IFJ) na Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu(THRDC) wanatarajia kuanzia mwezi huu  kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari nchini jinsi ya kuripoti uchaguzi mkuu wakiwa salama. Mafunzo hayo ambayo yanaratibiwa na JOWUTA katika…

Read More

Vita ya ubingwa Ligi Kuu sasa Simba, Yanga

KILA siku zinavyozidi kwenda, Azam FC inashuka kiwango huku kipigo cha mabao 2-1 ilichokipata kutoka kwa Yanga, kikiweka rehani nafasi yao ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao huku ikiwa rasmi sasa haitaweza kumaliza ligi kwa kufikisha pointi zaidi ya 63. Azam iliyo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, imekubali kichapo hicho…

Read More

CCM yatoa ratiba kwa wanaotaka ubunge, udiwani, uwakilishi

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetanganza kufungua dirisha kwa wanachama wake wanaotaka kuwania udiwani, uwakilisha na ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Chama hicho tawala nchini Tanzania kimesema fomu za kuomba kuteuliwa kuwania nafasi hizo zitaanza kutolewa Mei 1-15, 2025. Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Alhamisi, Aprili 10, 2025 na Katibu wa…

Read More

Yanga yaiweka rehani Azam FC Caf

KILA siku zinavyozidi kwenda, Azam FC inashuka kiwango huku kipigo cha mabao 2-1 ilichokipata kutoka kwa Yanga, kikiweka rehani nafasi yao ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao huku ikiwa rasmi sasa haitaweza kumaliza ligi kwa kufikisha pointi zaidi ya 63. Azam iliyo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, imekubali kichapo hicho…

Read More

Huu ndio uhaini anaoshtakiwa nao Lissu 

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu (57) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, akikabiliwa na kesi mbili tofauti za jinai zenye mashtaka tofauti, likiwemo la uhaini. Lissu amepandishwa kizimbani leo Alhamisi, Aprili 10, 2025, jioni na kusomewa mashtaka hayo na mawakili wawili mbele…

Read More

PPAA YAWANOA WAZABUNI KANDA YA KASKAZINI

Katibu Mtendaji wa PPAA, James Sando akifungua mafunzo ya siku mbili (tarehe 10 – 11 Aprili, 2025) kwa wazabuni na wadau wa ununuzi wa Umma kutoka taasisi za Serikali (hawapo pichani) kwa Kanda ya Kaskazini jijini Arusha ****** Na Mwandishi wetu, Arusha Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeendelea na zoezi la kuwajengea…

Read More