HabariBreaking News; Lissu Afikishwa Mahakamani Kisutu Admin3 months ago01 mins 23 Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia, Tundu Lissu leo Aprili 10, 2025 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamatwa jana Aprili 9, 2025 Mbinga Mkoa wa Ruvuma katika mkutano wake wa Hakuna Mabadiliko hakuna Uchaguzi. Post navigation Previous: WATUMISHI WA TCAA WAPONGEZWA KWA BARAZA LA WAFANYAKAZI LENYE TIJANext: ACT-Wazalendo yahofia kupuuzwa mageuzi sheria za uchaguzi, wagusia suala la Lissu
UA YAANZISHA MITAALA YA UALIMU WA AMALI KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA Admin5 hours ago 0