Ulaya lazima ifanye U-zamu-masuala ya ulimwengu

Picha Alliance / Pacific Press | Geovien hivyo Maoni na Michele Levoy (Brussels, Ubelgiji) Ijumaa, Aprili 11, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BRUSSELS, Ubelgiji, Aprili 11 (IPS) – Ulaya lazima ielewe kuwa njia pekee nzuri na ya busara ya kukabiliana na ujanja wa wahamiaji ni kufungua njia za kawaida kwa watu kufikia Ulaya kwa…

Read More

DKT. YONAZI AKUTANA NA UJUMBE WA IFAD NA TIMU YA WATAALAM NA WATEKELEZAJI WA PROGRAMU YA AFDP

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonaz akizungumza wakati wa kikao cha majumuisho (Wrap-Up Meeting) kilichohusisha Ujumbe Kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo(IFAD) na wataalam kutoka katika Sekta zinazotekeleza Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) katika Ukumbi wa Mkutano wa Ofisi ya Waziri…

Read More

TAWIFA YAJA NA KAMPENI YA MTI PESA MASHULENI.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Hamasa yatolewa kwa Wadau wa Maendeleo ikiwemo Sekta ya Kilimo,Sekta ya Misitu na Mazingira kuungana Rais Dkt Samia kupitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kupanda miti katika maeneo mbalimbali kama vile Majunbani, barabara,Taasisi na sehemu zingine za kimkakati zilizowekwa maalum ya kwaajili kupandwa miti. Wito huo umetolewa…

Read More

NELSON MANDELA KUTATUA CHANGAMOTO YA UFANISI KATIKA UFUGAJI

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na ya Teknolojia ya Nelson Mandela,Prof. Maulilio Kipanyula, akizindua rasmi Kituo cha Teknolojia ya kisasa ya ufugaji Fanisi kwa kumuingiza ng’ombe katika banda Aprili 11,2025 Kampasi ya Tengeru jijini Arusha. …….. TAASISI ya Afrika ya Sayansi na ya Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua kituo maalum cha utafiti…

Read More

Jinsi ya kurudisha 'sexy' katika kilimo

Dk Ismahane Elouafi, Mkurugenzi Mtendaji wa CGIAR. Mikopo: Busani Bafana/IPS na Busani Bafana, Cecilia Russell (Nairobi) Ijumaa, Aprili 11, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NAIROBI, Aprili 11 (IPS) – Wiki hii iliwasilisha beacon ya tumaini kwa vijana ili “msichana kutoka Kusini na mvulana, kwa kweli” aweze kukaa katika ulimwengu unaoendelea, Dk Ismahane Elouafi, mkurugenzi…

Read More

Wachimbaji wataka kifungu cha sheria ya madini kibadilishwe

Mwanza. Baadhi ya wachimbaji wadogo wa madini nchini wameiomba Serikali kufanya marekebisho au kufuta kabisa Kifungu cha 8(3) cha Sheria ya Madini, Sura ya 123, kinachoruhusu mmiliki wa leseni ndogo ya uchimbaji kuingia makubaliano ya msaada wa kiufundi na raia wa kigeni. Wamedai kifungu hicho kimekuwa kikwazo kwao, kwani baadhi ya wageni wanaoingia kwa mwamvuli…

Read More

Dodoma kupanda miti ya matunda 500 kila shule

Dodoma. Katika kuwezesha shule kuingiza mapato na wanafunzi kupata lishe, Mkoa wa Dodoma umeanza programu maalumu ya kupanda miti ya matunda 500 kwa kila shule. Ili kufanikisha hilo, kila halmashauri imetenga bajeti isiyopungua Sh10 milioni kwenye mwaka wa fedha 2025/26 kwa ajili ya upandaji na utunzaji wa miti. Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar…

Read More