Kizazi kinachukua msimamo – maswala ya ulimwengu

Mikopo: Umit Bektas/Reuters kupitia picha za Gallo Maoni na ines m pousadela (Montevideo, Uruguay) Ijumaa, Aprili 11, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Montevideo, Uruguay, Aprili 11 (IPS) – Katika moyo wa Istanbul, mabadiliko ya kushangaza yanaendelea. Kile kilichoanza kama maandamano ya wanafunzi kufuatia kukamatwa kwa kisiasa kwa Meya Ekrem İmamoğlu kumetokea ndani ya uhamasishaji…

Read More

TADED:HAKUNA CHAMA CHA KUZUIA UCHAGUZI MKUU USIFANYIKE

******** Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Demokrasia na Maendeleo Tanzania  (TADED) imesema kuwa hakuna chama au taasisi ya kufanya kuzuia uchaguazi Mkuu ambao hufanyika kila baada ya miaka mitano. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa TADED Chalila Kibuda amesema kuwa  kwa mujubu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiga kura ni haki…

Read More

ABSA BANK TANZANIA YAZINDUA ‘AKAUNTI YA MZAWA’ – SULUHISHO LA KIBUNIFU KWA WATANZANIA WAISHIO UGHAIBUNI

  Na Mwandihi Wetu  Absa Bank Tanzania  imezindua rasmi Akaunti ya Mzawa, huduma kamili ya kibenki kwa Watanzania waishio, wanaofanya kazi na kusoma nje ya nchi. Uzinduzi huo umefanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam kwa njia ya mseto (“phygital”) ambapo wadau muhimu walihudhuria ana kwa ana huku wengine wengi kutoka ughaibuni…

Read More

SERIKALI YATOA WITO KWA DIASPORA KUWEKEZA NYUMBANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. David Cosato Chumi (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ametoa wito kwa Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora) kuchangamkia fursa ya kuwekeza nyumbani, akisema kuwa mchango wao ni nguzo muhimu…

Read More

WAKAZI WA DABALO KUNUFAIKA NA UJENZI WA MAKAZI BORA

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Shirika lisilo la kiserikali la Habitat Humanity of Tanzania linatarajiwa kuwanufaisha wakazi wa kijiji cha Dabalo,kilichopo Halimashauri ya Wilaya ya Chamwino, Mkoani Dodoma Kwa mradi wa ujenzi wa Makazi bora, nafuu na endelevu unaotekelezwa na katika Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Hatua hiyo imekuja baada ya shirika hilo…

Read More