
WASHINDI TUZO YA TAIFA YA UANDISHI BUNIFU YA MWALIMU NYERERE
Washindi wa kwanza wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2025 kutoka vipengele vinne ambavyo ni Ushairi, Riwaya, Tamthilia na Vitabu vya Watoto wamepokea mfano wa hundi ya Shilingi Milioni kumi kwa kila mmoja. Washindi hao wamekabidhiwa Mfano wa hundi hizo pamoja na Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu…