
WANANCHI WAMKATAA RASMI GAMBO ARUSHA WADAI NI MWONGO SANA,WAMTAKA MAKONDA PIA WATISHIA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI KISA KIVUKO!
WANANCHI wa Kata ya Sokon one,Jijini Arusha wameibua tafrani baada ya kujikusanya na kutishia kutopiga kura katika uchaguzi mkuu ujao wakiwa na madai ya kutaka kujengewa kivuko baada ya kuahidiwa kwa muda mrefu bila mafanikio. Aidha wananchi hao wakiongea kwa jaziba wamemkataa mbunge wao Mrisho Gambo wakidai hajawasaidia chochote na kuahidi kutomchagua tena iwapo atagombea …