
UCHUKUAJI FOMU ZA UBUNGE CCM RASMI JUNE 28
**** Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kwamba baada ya mashauriano na Wanachama wake, kutafakari na kupima kwa umakini ushauri huo, kimeamua kufanya marekebisho juu ya ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa Wagombea wa nafasi ya ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani, kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Taarifa iliyotolewa…