AfCFTA KUKAMILISHA KANUNI ZA UASILI WA BIDHAA ZA NGUO NA MAVAZI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Seleman Jafo,akizungumza wakati akihutibia Mkutano wa 16 wa Baraza la Mawaziri la AfCFTA uliofanyika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) jijini Kinshasa ……. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Seleman Jafo (Mb.) ametoa rai kwa Wataalamu wa Eneo huru la Biashara Afrika (AfCFTA)kuhakikisha majadiliano kuhusu Kanuni za…