Mrisho Gambo Aibua Tuhuma Nzito Bungeni, Spika Tulia Aaingilia Kati – Video – Global Publishers



Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ameibua tuhuma nzito bungeni jijini Dodoma akidai kuna ufisadi mkubwa kwenye ujenzi wa Jengo la Utawala jijini Arusha.