BILIONI 2.3 KUSAIDIA BIASHARA CHANGA ZA VIJANA TANZANIA

“”””””” Na Mwandishi Wetu  Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundation wamesaini mkataba wa shilingi bilioni 2.3 kwa ajili ya kuziwezesha biashara changa za vijana nchini. Hafla hiyo ya kihistoria imefanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, ambapo rasmi ni Waziri wa…

Read More

Pamoja na migogoro, vita vya habari bado vinafanyika, anaonya mkuu wa UNRWA – maswala ya ulimwengu

“Waandishi wa habari wa Palestina wanaendelea kufanya kazi ya kishujaa, kulipa bei nzito; 170 wameuawa hadi leo,” AlisemaUnrwa Kamishna Mkuu Philippe Lazzarini. “Mtiririko wa bure wa habari na ripoti huru ni ufunguo wa ukweli na uwajibikaji wakati wa migogoro.” Katika rufaa yake, Bwana Lazzarini alibaini kuwa katika zaidi ya miezi 18 tangu vita huko Gaza…

Read More

WAZIRI BASHE AZITAKA NCHI ZA MALAWI, SOUTH AFRIKA IFIKAPO JUMATANO KUONDOA VIZUIZI VYA MAZAO YA TANZANIA KUINGIA KATIKA NCHI HIZO

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe ametoa hadi Jumatano kwa nchi ya Afrika Kusini pamoja na Malawi kuondoa vizuizi vya mazao ya Tanzania kuingia katika nchi hizo,bila ya kufanya hivyo hakuna mazao yoyote ya nchi hizo mayo yatauzwa hapa nchini. Bashe ameyazungumza hayo leo katika mkutano wa wadau wanaotekeleza miradi ya…

Read More

Msigwa afunguka ukarabati Uwanja wa Mkapa

Baada ya kujitokeza kwa kasoro ya eneo la kuchezea (Pitch) kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema eneo hilo halikuwa sehemu ya ukarabati unaoendelea. Amesema eneo hilo lilikarabatiwa mwaka 2023 na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) kwa…

Read More

Msigwa afafanua kuhusu ‘pitch’ Kwa Mkapa

Baada ya kujitokeza kwa kasoro ya eneo la kuchezea (Pitch) kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema eneo hilo halikuwa sehemu ya ukarabati unaoendelea. Amesema eneo hilo lilikarabatiwa mwaka 2023 na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) kwa…

Read More

DKT LWOGA ASISITIZA UHIFADHI NA UTUNZAJI WA MALIKALE ZA NCHI.

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt Noel Lwoga wakati akizungumza ofisini kwake jijini Dar es salaam akielezea katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Siku ya Kimataifa ya Malikale ambayo hufanyika tar 18 April ya kila mwaka. …………………… NA MUSSA KHALID Taasisi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania imeisisitiza jamii kuendelea kushiriki kikamilifu katika kuhifadhi…

Read More