Straika Stellenbosch aingiwa ubaridi, adai Simba ni hatari

Kwa mara nyingine macho na masikio ya wapenda soka yataelekezwa Zanzibar, Jumapili hii, pale Simba  itakapoumana na Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya  Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex. Katika kuelekea mchezo huo mshambuliaji wa Stellenbosch, Andre Ernest de Jong, raia wa New Zealand,…

Read More

JAMII YATAKIWA KUTEMBELEA MAENEO YA MALIKALE

Mhifadhi Mkuu Mambo ya Kale na Mkuu wa Kanda ya Magharibi Makumbusho na Malikale anayesimamia uhifadhi na uendelezaji maeneo ya kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara Revocatus Bugumba akizungumzia  siku ya Kimataifa ya Malikale ambayo hufanyika tar 18 April ya kila mwaka. Mhifadhi Mkuu Mambo ya Kale na Mkuu wa Kanda ya Magharibi Makumbusho na…

Read More

Maaskofu watema nondo kuelekea uchaguzi mkuu

Dar es Salaam/mikoani. Kilio cha haki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba, 2025, ni miongoni mwa mambo yaliyochukua nafasi kubwa kutoka kwa viongozi wa dini ya Kikristo nchini, ikiwa ni sehemu ya ujumbe wao katika mahubiri ya Ibada ya Ijumaa Kuu. Wameambatanisha ujumbe huo na msisitizo kwa Watanzania kuhakikisha wakati huu wa kuelekea uchaguzi, wanatumia…

Read More

Shahada masomo ya kichina sasa kufundishwa UDSM

Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinatarajia kuanzisha shahada nyingine itakayojikita katika masomo ya Kichina na Kiswahili lengo likiwa kuongeza wigo na fursa ya soko la ajira. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Aprili 18, 2025 na Naibu Makamu  Mkuu wa Chuo Taaluma hicho, Bonaventure Rutinwa, katika ufunguzi wa mashindano ya awali ya lugha…

Read More

Waliostaafu Soko la Kariakoo kulipwa Sh306 milioni

Dar es Salaam. Jumla ya Sh306 milioni zinatarajiwa kulipwa na Shirika la Masoko Kariakoo  kwa madeni ya waliokuwa watumishi wa Soko la Kariakoo. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Aprili 18, 2025 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, Hawa Ghasia wakati wa kikao cha Kumi cha Bodi hiyo kilichoketi jijini…

Read More

Ujenzi daraja Jangwani kuanza rasmi Mei

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema ujenzi wa daraja la Jangwani litakalokuwa na urefu wa mita 390 unatarajiwa kuanza rasmi mwezi ujao. Ujenzi wa daraja la Jangwani utagharimu Sh97.1bilioni, ukikamilika utaondoa adha ya kukatika kwa mawasiliano ya kuingia katika jiji la Dar es Salaam, utahusisha pia barabara za…

Read More