
WANANCHI ZAIDI YA 900 PERAMIHO WAPATIWA HUDUMA ZA SARATANI BILA MALIPO
***** Na WAF – Songea, Ruvuma Wananchi zaidi ya 900 wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo katika Hospitali ya MT. Joseph Peramiho, huduma ambazo kutolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya saratani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa muda wa siku nne (4). Waziri wa Afya Mhe. Jenista…