IKIWA ni Jumamosi ya wewe ndugu mteja kuondoka na kitita cha pesa pale Meridianbet, kampuni hiyo yenyewe leo hii imefika mpaka kata ya Mbezi Juu na kutoa msaada wa vifaa vya usafi.
Vifaa ambavyo vimeweza kugawiwa ni pamoja na Dustbins(mapipa ya usafi), glovu za usafi, Reflectors kwa viongozi wa mtaa, maafisa usafi pamoja na wawakilishi wa wananchi ambaye alikuwepo hapo.
Jumamosi ya leo chukua mzigo wako mapema ambapo mechi kibao zipo kwaajili yako siku ya leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
“Meridianbet tunaamini kuwa usafi ni afya, na afya ni msingi wa maendeleo ya jamii. Kupitia zoezi hili, tunataka kutoa hamasa kwa jamii kushiriki kikamilifu katika kulinda mazingira yao. Tunatambua jukumu letu kama sehemu ya jamii, na hii ni hatua mojawapo ya kuonesha kuwa tunajali,” amesema Nancy Ingram.
Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Mbezi Juu ameishukuru Meridianbet kwa moyo wa kizalendo na ushirikiano wao katika kuunga mkono juhudi za serikali za mitaa katika kuhakikisha mazingira yanabaki kuwa salama, safi, na yanayovutia.
“Huu ni mfano mzuri wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na serikali katika kuhakikisha tunalinda afya na hadhi ya mazingira ya wananchi wetu. Tunatoa wito kwa kampuni nyingine kuiga mfano huu,” amesema Mh. Anna Lukindo.
Meridianbet inasisitiza kuwa itaendelea kurejesha kwenye jamii, kwani bila jamii wao si kitu, hivyo pia wanwashihi watu wengine na kampuni zingine kuiga mfano kutoka kwao kwani wenye uhitaji ni wengi sana.