
Simba yaichapa Stellenbosch, hesabu zinakubali | Mwanaspoti
Pamoja na kupata ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, Simba bado ina nafasi kubwa ya kutinga hatua ya fainali ya kombe la Shirikisho Afrika. Ili itinge hatua ya fainali, Simba inatakiwa ipate matokeo ya aina tatu katika mechi ya marudiano itakayochezwa kwenye Uwanja…