
Coastal Union yaishusha KenGold, yatangulia Championship
Ken Gold imeshuka rasmi Ligi Kuu Bara baada ya kupoteza mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union kwa mabao 2-1 uliopigwa Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Matokeo hayo yanaifanya kubaki mkiani kwa pointi 16 ikiwa na michezo mitatu ambayo hata ikishinda yote haitatoka katika nafasi mbili za mkiani. Katika mechi tatu zilizobaki, Ken Gold…