
April 22, 2025


KATAMBI ASISITIZA UMUHIMU WA MICHEZO KWA WAFANYAKAZI
Na Mwandishi Wetu – Singida Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi ametoa wito kwa Waajiri na Vyama vya Wafanyakazi kuweka msukumo kwa wafanyakazi kushiriki katika michezo ili kuimarisha afya zao. Mhe. Katambi ameyasema leo Aprili 22, 2025 katika viwanja vya CCM Liti mkoani Singida wakati…

Mgogoro wa hali ya hewa Kuendesha kuongezeka kwa unyanyasaji wa kijinsia, Ripoti ya UN inapata-Maswala ya Ulimwenguni
Hiyo ndiyo onyo kutoka a Ripoti mpya na Mpango wa Uangalizi wa UNambayo hugundua kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yanaongeza mikazo ya kijamii na kiuchumi ambayo inaongeza viwango vya ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Ripoti hiyo inagundua kuwa hali ya hewa kali, uhamishaji, ukosefu wa usalama wa chakula, na kutokuwa na utulivu wa…

MKE WA RAIS MNANGAGWA AWASILI ARUSHA
…………. Mke wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Dkt. Auxillia C. Mnangagwa amewasili jijini Arusha na kupokelewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), Naibu Waziri, Mhe. Dunstan Kitandula, baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Sekretarieti ya Shirika la Utalii Duniani. Mhe.Mnangagwa anatarajiwa kushiriki Jukwaa la…

BUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI YA TAMISEMI TRILIONI 11.78 KWA MWAKA 2025/2026
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli moja bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/26 yenye takribani Shilingi trilioni 11. 783 kwa ajili ya wizara na taasisi zilizo chini yake. Kwa mujibu wa Waziri Mchengerwa Bajeti hiyo imeongezeka kutoka…

Makardinali wafanya mkutano wa kwanza Vatican
Vatican. Mkutano mkuu wa kwanza wa makardinali umeanza asubuhi ya leo Aprili 22, 2025 ikiwa ni siku moja baada ya kifo cha Papa Francis (88). Kwa mujibu wa mtandao wa Vatican News, mkutano huo ulidumu kwa saa moja na nusu, kuanzia saa 3:00 hadi saa 4:30 (saa za Ulaya). Imeelezwa waliokuwa katika mkutano huo uliofanyika…

BALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
-Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa wanaojaribu kuhatarisha haki, amani na utulivu wa nchi, huku Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ukikaribia kwa miezi mitano tu. Akizungumza na wananchi wa Bunda leo Jumanne, tarehe…

WATAALAMU KUTOKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA (AUC) WATEMBELEA TMA.
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea timu ya wataalamu kutoka Ofisi za Umoja wa Afrika (AUC) wanaoratibu utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma za hali ya hewa wa “Intra-ACP Climate Services and related Applications Programme (ClimSA)”. Ziara hiyo ilifanyika tarehe 17 Aprili, 2025 ikioongozwa na mmoja wa Wasimamizi wa mradi…

Wabunge wang’aka ukosefu wa madawati shule za msingi
Dodoma. Upungufu wa madawati katika shule za msingi umezua mjadala bungeni baada ya wabunge kuibua vilio wakisema ni aibu Taifa kuendelea kuzungumza jambo hilo. Katika michango ya wabunge leo, Jumanne Aprili 22, 2025, baadhi yao wameitaka Serikali ifikirie upya mkakati wa kumaliza upungufu huo. Kilio cha upungufu wa madawati kilianza Aprili 17, 2025, siku ya…

MASHINDANO YA UNICHAMPIONS KUTIMUA VUMBI MWEZI MEI, 2025
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Mashindano ya Michezo kwa Vyuo Vikuu Msimu wa Pili kupitia Taasisi ya UNICHAMPIONS kwa kushirikina na CUC yanatarajiwa kufanyika kwa awamu ya pili ambapo yatajumuisha mpira wa miguu, mpira wa kikapu,mpira wa wavu na netboli. Akizungumza leo Aprili 22,2025 Jijini Dar es salaam wakati wa Uzinduzi wa mashindano hayo,Mwanzilishi wa…