MichezoFountain Gate yamsimamisha kipa kisa mabao ya Yanga Admin5 months ago01 mins 39 UONGOZI wa Fountain Gate umemsimamisha kipa wake John Noble kwa makosa yanayodaiwa kuwa ni ya kizembe kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga timu hiyo ikikubali kichapo cha mabao 4-0. Post navigation Previous: ULEGA ATOA SIKU 30 KWA MKANDARASI BARABARA YA NSALAGANext: Yanga yashinda ikiweka rekodi rekodi tatu