HabariMamia wamejitokeza katika mazishi ya Mratibu wa Miss Tanzania Admin8 months ago01 mins 46 Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Post navigation Previous: Papa Francis kuzikwa Jumamosi VaticanNext: MERIDIANBET YAKULETEA PROMOSHENI KABAMBE, SHINDA SIMU MPYA YA SAMSUNG A25!