
Polisi yathibitisha kumuhoji Mwijaku, wanafunzi waliomshambulia mwenzao
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limethibitisha kuwahoji Mwemba Burton Mwemba, maarufu Mwijaku na wanafunzi wanne wanaidaiwa kushiriki katika tukio la kumshambulia na kumdhalilisha Magnificat Barnabas Kimario ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi. Katika taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Aprili 24, 2025, polisi wameeleza kuwa hadi sasa watu wanne wamekamatwa na…