GAMBO AJIIPIGA SHOTI APONZWA NA KAMDOMO APATA AIBU YA KARNE BUNGENI,APOTEZA MVUTO JIMBONI ,SPIKA AMRARUA AOMBA PO!

Na Joseph Ngilisho..ARUSHA


MBUNGE wa Arusha mjini Mrisho Gambo amelazimika kuomba radhi bunge baada ya kubanmwa kuhusu tuhuma za uongo alizoziibua bungeni kuhusu ufisadi katika miradi ya jiji la Arusha pamoja na kumtuhumu uongo waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na seikali za mitaa Tamisemi.Mohamed Mchengerwa .

Related Posts