KUMBILAMOTO KUZINDUA SHINA LA WAKEREKETWA WA CHAMA CHA MAPINDUZI BUTIHAMA CHANIKA.

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, leo amezindia Shina la Chama cha Mapinduzi CCM lililopo eneo la Butihama, Chanika Wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam.

Katika uzinduzi huo, Mstahiki Meya Kumbilamboto ametoa zawadi za jezi kwa vijana wa CCM waliyopo kwenye eneo hilo, lengo ni kuimarisha Chama pamoja na kuongeza idadai ya wanaCCM.