UN rasmi inaonya juu ya ‘kushambuliwa kwa hadhi’ kama majibu ya kibinadamu ya kuzuia masuala ya kibinadamu – maswala ya ulimwengu

Akiongea na waandishi wa habari katika Jiji la Gaza, Jonathan Whittall, Mkuu wa Ofisi ya Ofisi ya Mrengo wa Uratibu wa UN, Ochaaliweka picha kali ya maisha chini ya kile alichokiita “jumla na kamili ya blockade” sasa inakaribia mwezi wake wa tatu. “Siku zijazo huko Gaza zitakuwa muhimu. Leo watu hawaishi Gaza, wale ambao hawauawa…

Read More

MKUU WA MKOA SINGIDA AIPONGEZA TASAC

 MKUU wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego amelipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa utekelezaji wa majukumu yake ya kuhakikisha Sekta ya usafiri majini inachangia kukuza Uchumi wa Taifa. Ametoa pongezi hizo wakati alipotembelea Banda la TASAC, leo tarehe 26 Aprili,2025 katika Maonesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali Pa Kazi…

Read More

KAMATI YA BUNGE YARIDHIKA NA MAENDELEO MRADI WA MEMBE

………….. -Yamuomba Rais Kuongeza Utoaji wa Fedha Miradi ya Umwagiliaji Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji mradi wa Bwawa la Umwagiliaji Membe. Bwawa hilo ambalo linajengwa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), ujenzi wake umefikia asilimia 92 ya utekelezaji.  Wakizungumza leo Jumamosi Aprili 26,…

Read More

Mwisho wa safari ya Papa Francis, dunia yamzika

Vatican. Safari ya maisha ya duniani ya Papa Francis ilihitimishwa saa 7:30 mchana (saa 8:30 mchana saa za Afrika Mashariki na Kati) leo Aprili 26, 2025 baada ya mwili wake kuzikwa kwenye Kanisa kuu la Bikira Maria Mkuu, mjini Roma, Italia. Ibada ya mazishi ilianza saa 7:00 mchana (saa 8:00 mchana) ikiongozwa na Camerlengo, mbele…

Read More