KITENDO cha Coastal Union kutupwa nje ya mashindano ya Kombe la Muungano baada ya kuchapwa bao 1-0 dhidi ya Zimamoto katika hatua ya robo fainali, kaimu kocha mkuu wa kikosi hicho, Joseph Lazaro amesema nguvu zao wanazielekeza Ligi Kuu Bara.
Kosha Coastal ahamishia nguvu Bara
