SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA BANDARI

Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC Nah.Mussa Mandia akimkabidhi zawadi ya TASAC  Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera Erasto Sima wakati wa Bodi hiyo ilipotembelea  Ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika ziara ya Bodi mkoani humo. Na Mwandishi wetu ,Muleba Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Uwakala Meli Tanzania (TASAC), Nahodha Mussa Mandia amesema…

Read More

ETDCO wakamilisha mradi wa kilovoti 132 Tabora – Ipole

Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekamilisha ujenzi wa mradi wa laini ya msongo wa kilovoti 132 yenye urefu wa kilomita 102 kutoka Tabora hadi Ipole. Ikielezwa kuwa kukamilika kwa mradi huo  kutawasaidia wananchi wa Wilaya ya Sikonge kupata huduma ya umeme ya uhakika na kuchochea maendeleo….

Read More

Mambo matano ziara Dk Nchimbi Mara

Dar es Salaam. Siku sita za ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi mkoani Mara, zimetosha kwa chama hicho kujitenga na kauli hatari dhidi ya upinzani, kuziweka mtegoni wizara tatu na kuwafichua watiania kimyakimya wa nafasi za ubunge kupitia chama hicho. Hayo yote yamejidhihirisha kupitia hotuba na salamu za Dk…

Read More

NAIBU KATIBU MKUU ZUHURA YUNUS AIPONGEZA GASCO

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Zuhura Yunus leo ametembelea banda la kampuni ya GASCO ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika maonesho ya Wiki ya Usalama Mahala pa Kazi yanayoendelea Mkoani Singida. Katika ziara hiyo, Bi. Zuhura Yunus alipata…

Read More

‘Jiungeni na vyama vya ushirika vilivyosajiliwa’

Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza wakulima kujiunga na vyama vya ushirika vilivyosajiliwa ili kunufaika na fursa zinazotolewa na Serikali pamoja na wadau wa maendeleo, ikiwamo huduma za kitaalamu, elimu ya kilimo na upatikanaji wa mitaji. Akizungumza leo Jumapili Aprili 27, 2025 katika kongamano la sekta ya ushirika lililofanyika jijini Dodoma kuelekea uzinduzi wa Benki…

Read More

ETDCO WAKAMILISHA MRADI WA KILOVOLTI 132 TABORA – IPOLE

Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekamilisha ujenzi wa Mradi wa laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye urefu wa kilomita 102 kutoka Tabora hadi Ipole, ambao utawasaidi Wananchi wa Wilaya ya Sikonge kupata huduma ya Umeme wa uhakika na kuchochea maendeleo. Akizungumza leo, Aprili 27, 2025,…

Read More