MAPEPELE AHAMISHIWA TAMISEMI NA HOSEA MALIASILI

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nteghenjwa Osea amekabidhiwa rasmi ofisi na aliekuwa Mkuu wa Kitengo hicho Bw. John Mapepele ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, ili kuendelea kuwatumiaka wananchi kwenye ofisi yake…

Read More

Mamia waipokea Simba uwanja wa ndege mvua ikinyesha

MAMIA ya mashabiki wa Simba  wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), usiku huu kuwapokea wachezaji waliorejea kutoka Afrika Kusini baada ya kuandika historia mpya kwenye soka la Afrika. Kikosi cha Simba kimerudi nchini kikiwa na furaha  kubwa baada ya kufuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya…

Read More

RAIS SAMIA YUPO KAZINI – MKURUGENZI MIGERA

 ***** Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kina masikio mapana ya kumsikiliza Mwananchi wa hali yoyote bila kubagua daraja la Elimu aliyonayo.  Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Jamii Kwanza initiative (JKI) na Kada ya chama hicho, Daniel Migera amesema Chama hicho kimeweka…

Read More