KATIBU MKUU UCHUKUZI AZINDUA MAONESHO YA 73 YA ACI AFRICA, ATEMBELEA BANDA LA TAA

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akikata utepe kuashiria uzinduzi wa wa Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango, Usanifu na Uthamini kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Diana Munubi baada ya kutembelea Bando la Mamlaka hiyo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akisaini kitabu mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Abdul Mombokaleo mara baada ya kutembelea banda la TAA wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.

Related Posts