HabariRAIS SAMIA APOKEA CHETI CHA UMILIKI WA HISA ZAKE Admin4 months ago01 mins 35 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha umiliki wa Hisa zake kwenye Benki ya Ushirika Tanzania katika Ukumbi w a Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025. Post navigation Previous: MTOTO ASIPOPATA CHANJO HATARINI KUPATA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA -MHAGAMANext: Serikali ilivyojibu hoja za Lissu kupinga kesi yake kusikilizwa mtandaoni