Habari WAZIRI MKUU AWASILI ARUSHA, KUFUNGUA MKUTANO WA ACI AFRIKA* April 28, 2025 Admin 19 Home byTorch Media –April 28, 2025 0 ……….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 28, 2025 amewasili Mkoani Arusha ambapo atafungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la viwanja vya ndege kwa kanda ya Afrika (ACI Afrika) unaofanyika kwenye Hotel ya Mount Meru. Related Posts Habari Wawili wafariki kwa ajali Tabora July 9, 2025 Admin Habari Serikali iunge mkono juhudi za wawekezaji katika kuboresha miundombinu maeneo ya uzalishaji July 9, 2025 Admin