Changamoto za Msaada wa Sudan, Sasisho la Mtetemeko wa Myanmar, Msaada wa UN kwa waathiriwa wa unyanyasaji wa kijinsia – maswala ya ulimwengu

“UN inajali sana juu ya shida ya raia wanaokimbia kambi ya Zamzam, na pia hali mbaya ndani na karibu na El Fasher, ambayo iko Kaskazini mwa Darfur,” msemaji wa UN Stéphane Dujarric aliwaambia waandishi wa habari kwenye mkutano wa habari wa kawaida huko New York. Hali ya njaa tayari imegunduliwa katika kambi kadhaa za kuhamishwa,…

Read More

WASANII WAHIMIZWA KUTUMIA LUGHA YA KISWAHILI KIBIASHARA

  Wasanii wa filamu na maigizo nchini wametakiwa kutumia Lugha ya kiswahili kama fursa ya kibiashara kimataifa ili kuongeza tija itokanayo na filamu hizo katika kujiongezea kipato chao Rai hiyo imetolewa na Dkt Godwin Maimu ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa tamasha la kimataifa la filamu za kiswahili (ISFF) wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini…

Read More

Sh381 bilioni zakusanywa hatifungani Zanzibar Sukuk

Unguja. Wakati dirisha la awamu ya kwanza likifungwa katika uwekezaji wa hatifungani inayofuata misingi ya Kiislam (Zanzibar Sukuk), zaidi ya Sh381 bilioni zimekusanywa. Dirisha la kwanza lilifunguliwa Machi 7, 2025 na ilikadiria kukusanya Sh300 bilioni kwa awamu hiyo. Hayo yamebainika leo Aprili 29, 2025 wakati wa kufungwa kwa dirisha hilo na kukabidhi fedha hizo serikalini…

Read More

EARLY PAYOUT KUMWAGA MIHELA LEO

EARLY payout kwasasa ndio mchongo mpya ambao Meridianbet wamekuja nao ambapo kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa usiku wa leo itakuwezesha kushinda mamilioni leo. Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamekujia na chaguo linaloitwa Early payout ambapo unaweza kushinda mkeka pale tu timu zoako ulizochagua zitaongoza kwa tofauti ya magoli mawili, Mfano leo Arsenal akipata…

Read More

MALIASILI SC YATIKISA SINGIDA.

…,………. Club ya Michezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii maarufu kama MNRT SPORTS CLUB imeibua gumzo la shangwe Mkoani Singida kwenye mashindano ya Maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Duniani MEI MOSI 2025, Mkoani Singida, kutokana ushujaa wa timu zake hususani timu ya mchezo wa kuvuta kamba wanaume iliyofanya vizuri mpaka mwisho. Baadhi ya wakazi…

Read More

Wizi wa mtandaoni waliza Watanzania Sh5.3 bilioni

Dar es Salaam. Tanzania imepoteza Sh5.345 bilioni kutokana na udanganyifu mwaka 2024, matukio yanayohusishwa na udanganyifu huo ni uhamishaji wa fedha kupitia simu za mkononi, benki, na utoaji wa fedha kwa ATM, kama inavyoonyeshwa na ripoti mpya ya Takwimu za Uhalifu na Ajali za Barabarani. Kiasi hicho kinaashiria ongezeko kutoka Sh5.067 bilioni zilizoripotiwa mwaka uliopita,…

Read More