Mkutano wa kiwango cha juu cha nchi zenye kipato cha kati (MICs), uliofanyika tarehe 28 na 29 Aprili, ulihudhuriwa na wawakilishi wakuu kutoka kwa MIC
Month: April 2025

“UN inajali sana juu ya shida ya raia wanaokimbia kambi ya Zamzam, na pia hali mbaya ndani na karibu na El Fasher, ambayo iko Kaskazini

Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC Nah.Mussa Mandia akizungumza na wananchi wa Mwalo wa Luhita wakati Bodi hiyo ilipofanya ziara katika Mwalo huo hawapo pichani.

BRELA YATIMIZA AHADI YA KUWALETA WATOTO YATIMA KITUO CHA TUYATA DAR ES SALAAM MJI WA SERIKALI MTUMBA
Afisa Habari Mkuu,kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bi. Joyce Mgaya,akizungumza na watoto Yatima na wenye Ulemavu 100 kutoka Kituo cha
Wasanii wa filamu na maigizo nchini wametakiwa kutumia Lugha ya kiswahili kama fursa ya kibiashara kimataifa ili kuongeza tija itokanayo na filamu hizo katika

Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amejibu hoja mbalimbali za wabunge, ikiwemo suala la kukatika mara kwa mara kwa umeme

Unguja. Wakati dirisha la awamu ya kwanza likifungwa katika uwekezaji wa hatifungani inayofuata misingi ya Kiislam (Zanzibar Sukuk), zaidi ya Sh381 bilioni zimekusanywa. Dirisha la

EARLY payout kwasasa ndio mchongo mpya ambao Meridianbet wamekuja nao ambapo kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa usiku wa leo itakuwezesha kushinda mamilioni leo. Mabingwa

…,………. Club ya Michezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii maarufu kama MNRT SPORTS CLUB imeibua gumzo la shangwe Mkoani Singida kwenye mashindano ya Maadhimisho