POLISI TANZANIA YAJIPANGA KULIPA ‘KISASI’ KWA MBEYA CITY BABATI, MANYARA
TIMU ya Polisi Tanzania Ijumaa hii Aprili 18, 2025 inawakaribisha Mbeya City katika mchezo wa Ligi ya Championship, mchezo utakaochezwa katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Mjini Babati. Afisa habari wa timu ya Polisi Tanzania Inspekta Frank Lukwaro amesema alama tatu za mchezo huo ni muhimu ikiwemo kulipa kisasi cha kufungwa na Mbeya City katika mchezo…