CAG abaini kasoro lukuki sekta ya mifugo
Dar es Salaam. Licha ya Tanzania kuwa na mifugo ya aina tofauti, ripoti ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebainisha huduma za ugani zinazotolewa zinawafikia asilimia tisa tu ya wafugaji nchini. CAG imebaini upungufu wa asilimia 67 ya maofisa ugani nchini ambao unasababisha asilimia 91 ya kaya zinazojihusisha na ufugaji kukosa…